18 Jul 2016

Jay Z amsaini rapa wa kike wa kwanza ndani ya Roc Nation

Jay Z amemsaini rapa wa kike, MC Rapsody kwenye lebo yake ya Rock Nation.
Mc Rapsody ni rapa wa kwanza wa kike kusaini na lebo ya Roc Nation, lakini pia aliwahi kuwa chini ya lebo kadhaa ikiwemo 9th Wonder’s na Jamla Records.

Kutokana na furaha aliyokuwa nayo rapa huyo, kupitia akaunti yake ya instagram aliandika, “Welcome to JamRoc. #Jamla #Rocnation.” Mpaka sasa Rapsody amefanikiwa kuachia albamu moja ‘The Idea Of Beautiful’ikiwemo na mixtape ya ‘She Got Game’.

Aidha MC Rapsody aliwahi kushirikishwa na Kendrick Lamar kwenye wimbo wa “Complexion (A Zulu Love)” uliokuwa kwenye albbamu yake ya ‘To Pimp a Butterfly’.

0 TOA MAONI HAPA:

Post a Comment